Karibu kwenye Ubora Podcast! Tunatengeneza podcast za Kiswahili zenye mwelekeo wa kugusia maeneo mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maisha ya kila siku, kwa lengo la kutoa uchambuzi wa kina lakini pia kutatua changamoto zinazowakabili watu mbalimbali kwenye nyanja hizo. </p>Kupitia mahojiano na wataalamu wa Nyanja hizo, watu mbalimbali wenye mifano hai, uzoefu na ujuzi mbalimbali, tunatathmini suluhu za vitendo katika changamoto hizi na kuja na suluhu na uchambuzi wa kina. </p>Jiunge nasi katika podcast yetu na usisahau kutoa maoni yako na kushiriki podcast yetu na watu wengine.</p>
Umewahi kujiuliza jinsi programu hiyo inavyofanya kazi au teknolojia itakuwaje siku za usoni? Jiunge nasi tunapochunguza ulimwengu wa kuvutia wa teknoloji.
Jiandae kupanua ujuzi wako wa teknolojia! Tufuate katika safari ambayo tutazungumzia gunduzi za hivi punde, mwenendo, na mafanikio ya teknolojia. Yote haya ni katika podcast moja ya kusisimua.
KARIBU
Amanda is a wife. A mother. A blogger. A Christian.
A charming, beautiful, bubbly, young woman who lives life to the fullest.
But Amanda is dying, with a secret she doesn’t want anyone to know.
She starts a blog detailing her cancer journey, and becomes an inspiration, touching and
captivating her local community as well as followers all over the world.
Until one day investigative producer Nancy gets an anonymous tip telling her to look at Amanda’s
blog, setting Nancy on an unimaginable road to uncover Amanda’s secret.
Award winning journalist Charlie Webster explores this unbelievable and bizarre, but
all-too-real tale, of a woman from San Jose, California whose secret ripped a family apart and
left a community in shock.
Scamanda is the true story of a woman whose own words held the key to her secret.
New episodes every Monday.
Follow Scamanda on Apple Podcasts, Spotify, or wherever you listen.
Amanda’s blog posts are read by actor Kendall Horn.